wanajua sana, sema tuu sio wote wanaweza kusaidia kama wengine wanavyosaidia. And bongo watu wanazingua sana ndo maana hata sanaa yetu haikuwi, mtu anaigiza kuigiza bwana! NiMeChoKA na hii nchi, NAIPENDA ntaishi humu Lakini entertainment na mambo mengine yote natafuta nchi za watu! Angalau nipooze machungu ya ufisadi na ubinafsi serikalini!
3 comments:
Hey umemnasa wapi huyu kiumbe?????? mmhh aise imetulia, nimeitembelea blog yako leo nimejiburudiasha saaaanaaa. naona mapozi hadi kamera inaogopa duh! carry on......
karibu hapa; www.lundunyasa.blogspot.com
Kwa nini watanzania tunashabikia sana mastaa wa nchi nyingine. Lazima tujithamini wenyewe, hawa Wamarekani hata hawajui kama Tanzania ina-exist.
wanajua sana, sema tuu sio wote wanaweza kusaidia kama wengine wanavyosaidia. And bongo watu wanazingua sana ndo maana hata sanaa yetu haikuwi, mtu anaigiza kuigiza bwana!
NiMeChoKA na hii nchi, NAIPENDA ntaishi humu Lakini entertainment na mambo mengine yote natafuta nchi za watu! Angalau nipooze machungu ya ufisadi na ubinafsi serikalini!
Post a Comment