Monday, August 31, 2009

ATT:SKINNY JEANS R MAJOR HEALTH HAZZARD!!

kuna kipindi katika leo tena ya Dina Marios walizungumzia Skiiny Jeans eti zinaleta Matumbo na ndio maana ma binti wengi na wa mama wanaovaa skinny Jeans wanakuwa Na matumbo kama mapira..
watu walishangaa sana jamani ila huko marekani imetokea na DK's wamezungumza..
angalia video hiyo inasemajeje na what do u think??
post your comment nta publish hata ziwe na matusi ntaweka msijesema nawabania comment zenu baadhi ya nyie mnaoandika lugha chochoro katika comments zenu ..



KUNA TOFAUTI GANI KTK MAGAZINE ZA TZ NA ZA NJE..LOOK AT THE COVER!!

We can even use Ray c ambae ni Sexiest Kwa Tzee but still kukawa na tofauti na Hii ya Halle Berry na BEY BEY..Sasa what is the Matter ?? Tatizo ni nini hasa Mpaka inakuwa hivi??
Kuna kipindi nilikuwa na Mpango wa kuanzisha Magazine ya Diva..nikamwendea boss wangu Mr,Ruge Mutahaba a.k.a smilling without hating ili anipe mawazo yake..
Akanijibu ni kazi sana inabidi ujipange kwanza na usikurupuke,i was like oowkay-Sikuridhika nikaenda mpaka kwa Shafii Dauda ambae yeye ni mmiliki wa Number 10 akanijibu ya kuwa ni kazi sana kuanzisha Magazine ila You Probably need 20 million hivi..20 million ni nyingi jamani ila you need a sponsor for that!!
Basi nikaona niachane na idea hiyo but today nimekaa bored and i started cruizing kwa magazine tofauti .. mara ESSENCE hilo limekuja..
Unajua kilichonivutia??COVER .. doll the cover iko safi sana compared na cover zetu za Magazine zetu za Tzee kama ninavyoona mimi..
Ni sawa Jamani au mimi naangalia vibaya..kama wewe unapenda kusoma magazine za nje na ndani utagundua tofauti kati ya cover zetu na cover za wenzetu then u tell me kuna tofauti gani mbali ya cover tu..maana zetu kind of boring hivi thou kujitahidi kupo sana but mmh!!hazikufanyi u buy magazine for 10,000tsh licha ya kuwa wao wanatumia celebrities wao na sisi twatumia wetu pia..ila tatizo nini??vifaa ama??twafanyaje sasa ili kuwafikia Jamani My People..

Wednesday, August 26, 2009

BRA&THONG ..IPI NZURI??

HOW DO THEY LOOK LIKE??SEXY eh??
i luv za Pink..unavaaga za rangi gani??nyeusi..
Wengine huwa wanazivaa week nzima ikifika sunday anafua na kuzianika kama hivi .. Mwalimu wangu Miss Doreen Kisutu sec aliwahi kutufundisha kufua nguo za ndani na kuzianika ili zipate hewa na mwanga wa kutosha kuua viji bacteria,ila ki afya kila baada ya miezi3 yapaswa kutupwa au kuzichoma moto nguo za ndani..na boxer je za wanaume nazo zatupwa..maana kuna boxer ka captura!!
..lmao..
strippers hasa huwa wanavaa hivi but if ur a gal and u know what a man want u can wear dis and strip 4 him tu si ndio jamani??si ni wako huyo wamuonea aibu ya nini..
a woman shuld be a bitch chumbani(arnold unakumbuka maneno yako detective??)
ulisema a man anataka mwanamke anaejifanya ma..y..chumbani sio heshima mpaka in bed!!
una mambo wewe!!
cassandra hizi kibao..go and get em..
Bob sambene hapa lazima ata comment tu sababu anapenda kuvaa bra ambazo ziko hivi..yeye ana run town kwa style hii ya kuvaa hivi,we both know how he is,dudes au chio??
gals pls tell me unapendaga ya rangi gani?unamechishia??unanunulia wapi coz mine nyingi cassandra pale na city star kwa ester msasani pale..wewe je??

MY NO1 MUSIC AND NUMBER 1 VIDEO..WATCH IT!!



Sikiliza vizuri maneno na angalia vizuri that video..
oops!!i luv it..
weezy babes..i be back again

Goodmorning Jamani!!CHRIS BROWN&RIHANNA OFFICIALLY OVER

Judge kampa masharti magumu,kamwambia hatakiwi kuwasiliana nae kwa 5 yrs..oops five fucking yrs..Damn !!
more info search hapo pembeni palipo andikwa search anything through diva255 ..

Tuesday, August 25, 2009

ADAMU MCHOMVU..

Hey yoo....
this is your Diva and Your Brother from another mother..
Yoo Mchomvu..tuta ungana na kufanya ala za roho Season2 Pamoja unaonaje??

Beyonce azungumzia Jinsi anavyotunza Mwili wake



unaweza comment baada ya kuona interview yake as Beyonce na ukasema na wewe una control vipi mwili wako..

R.I.P.: Aaliyah… We Miss You… 08/25/2001

Aaliyah Dana Haughton came into the music world and gave us a whole different outlook. She was truly an angel and her music touched a lot of people and still does to this day. So, we just want to take a second and dedicate this to her…. We Miss You!!
Alikuwa anatokea Detroit as singer and Dancer,1994 wit Age aint nothing but a number,we all watched Aaliyah Blossom.Muonekano wake wa Sunglasses and baggy clothes ilimuongezea muonekano sana katika ONE IN A MILLION..
Nilikuwa nampenda sana Aaliyah kama ninavyompenda Beyonce,wote tunampenda Aaliyah,She was always Beautiful,akiimba na ukausikia muziki wake ,was sexy and whisper in your ear-but Later akatutoka8/25/2001.
RIP:Aaliyah.
We Miss u Fans wako.

Monday, August 24, 2009

MAMA MDOGO ANANITEGA

katika ala za roho napata story za kushangaza tangu jumapili,ila kwa kipindi hichi ambacho sitakuwa hewani ala za roho ina amia hapa..
Huyu kijana amenitumia email kupitia juju1921@live.com na akaniambia ya kuwa eti mama ake mdogo,yaani mke wa baba ake anamtega sana..

yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa mlimani mwaka wa 3 ndo anaingia baada ya majibu kutoka fresh..
anasema yaani wakati huu wa likizo..baba ake anapokuwa anaenda kazini mama mdogo anamtega mbaya,boobs nje na Kanga anamvalia moja na anamjali kupita kiasi na hajui afanyaje..
eti anasema yaani umri wa mama ake mdogo na yeye unaendana .. sasa afanyaje??amsaliti mzee maana mama ake mdogo kaumbika kwelikweli na uzuri anao..
Mshaurini kijana Mwenzanu Jamani..

AM IN LUV WITH MY SISTER..

Jamani Diva pls help me maana siwezi kukaa mpaka urudi katika Ala Za Roho ndo unishauri..
My name is John jonas am living at Mikocheni..the thing is am in luv wit my cousin sister..
tumekuwa Pamoja and my mum and dad ndo waliomlea mpaka hapo alipo..ila diva tangu awe na umri wa miaka 16 nimeanza kumpenda .. Nakumbuka i was at uganda namalizia form 6 na niliporudi nikamuona amekuwa ..
Aliponiona akaja akanirukia coz hajaniona muda mrefu na pale aliponikumbatia tu ndo nikaanza kuchanganyikiwa..
am in luv mpaka nachanganyikiwa na nimemaliza chuo mwaka huu ila still miaka yote hiyo nimekuwa nikimpenda..
sijamwambia and na mtreat vizuri tu kama Mdogo wangu coz ni mdogo wangu,wazazi wake yaani uncle wangu na aunt yangu walifariki tangu alipokuwa mdogo na amelelewa na wazazi wangu..
Sasha was my lil sister coz me nimezaliwa Peke angu na yeye kama nilivyosema alizaliwa Peke ake pia ila wazazi wake wamefariki tangu yuko 3 yrs..
hisia zangu kwake zinakua sana..siwezi kuwa na mtu mwengine zaidi ya kumuwaza yeye tu..
Nifanyeje ?? should i let her go??should i tell her??what about my family??naanzajeanzaje kuwaeleza i luv her na wakanielewa??
pls guys am in the middle of something and i dont know what to do..
Nifanye nini Jamani??

Friday, August 21, 2009

Diva Now Stronger than Ever..

My Gal Kim Dayla

Season1 ya ala za roho imeisha na wakati wa wewe kuskiza Good Music umewadia,will be the silent Partner kwa Muda but will give you the good music,nikirudi on air ntafanya mabadiliko Mengi sana and will run the show katika Level nyingine kabisa..nasoma online sana mambo ya kuwa the best on air..Thomas Murrel yeye ni Mtangazaji wa bbc Kwa upande wa Canada na tangu naanza kuwa on air Mzungu huyu amekuwa na Muda mwingi Kunielekeza Mambo mengi through Simu na Mails na Kunitumia PODCARDS na Mambo mengi mengineyo yahusuyo utangazaji..yeye kwa canada ana awards 5 as the best male Presenter. Thanks to my Dad anaenilipia Us$nyingi tu kuhakikisha I got good education..thanks kwa Kuninunulia Laptop na Internet kuhakikisha Nakuwa Najifunza kila wakati..
Thanks kwa Captain G habash,ruge Mutahaba,Joseph Kussaga, My Lovely Sis Dinna Marius na Wote waliokuwa Hapo to make sure naendelea Kujifunza kwa Njia nzuri na ya kunielewesha vizuri na sio kunifokea coz am still learnin and Kwanini ndo NGUZO YANGU KUU ..
Ala za roho imekuwa kwa Msaada wa Wengi..Sebastian Maganga who is our Program Manager,Reuben Ndege,Mwanafalsafa kwa articles ambazo huwa ananitumia hata late night to make sure my show rocks,thanks cousin ukija niletee T-shirt ya The Death of .. ya Jay z!!lol
Ma Friend Jayheim from Uk pia kafanikisha ala za roho sana..Msururu ni Mrefu..Crew Nzima ya The Sexiest Man and Sponsors wote and All my fans and listerners wa Clouds Fm,
My mama Sarp,Dee,Nonhlethema kwa advice za hapa na pale and woteee..ma boy lucky from south africa,ma gal kim j from south africa kwa tips chache.Luv all of yoo..
Luv u guys sanaaaaaa..Siwezi wataja wote but Unajijua u mean a lot to me dawg..
Kwa Now Am Happy livin as A diva and no stress ..Haters they no longer exiest coz got a lot of comments to encourage me and am living my life for now,kwa now haters who hate for no reason they are dead and they wil live in Jehanam for Hating wit no reason..
Try to be u siku zote,dont try to be me coz Mungu ana reason ya kukuumba wewe kama wewe na mimi kama mimi..
Kila la kheri na pls tutoe support na ndugu zetu wa islam kwa kutowatamanisha in any way..Mavazi na Kwenye Matonge pia..tujifiche!!
WISH U RAMADHANI KARIM..
Diva s out babes!!

Tuesday, August 18, 2009

SINA UHUSIANO NA B12


Hallow!!

Baada ya watu wengi kutuma sms kila mtu na style yake..nimegundua Tanzania tumekuwa waoga katika njia moja au nyingine ya Kuwavuta wasikilizaji kukusikiliza,inaweza ukawa unafanya ili ufurahishe au upate Jinsi ya kuongea chochote kwa njia ya kuwakilisha Ujumbe kwa njia yoyote but imekuwa ngumu.

Saa hizi ni usiku wa saa 7 na nimekaa kitandani kuandika Haya ninayoandika And pls naomba tuelewane,kuna niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine kwa Kumuongelea B12 kama Mpenzi wangu but i was doing it for the show naomba mnisamehe kwani sikuwa na nia tofauti na wala sina lolote lile linaloendelea kati yetu

B12 ni Mfanyakazi Mwenzangu tu na hatuna Mapenzi yoyote yanayoendelea kati yetu wala Hatukuwahi kukaa na kuongea suala lolote la Mapenzi,Its only a radio show ..

Huwa sina taratibu ya kukasirika for more than ten minutes au kumpa mtu nafasi ya kunikasirisha ila nimekasirika kupita kiasi Mungu anajua,i wish kupiga Makelele ila nashindwa,wish to punch someone on the face nashindwa;I am really Angry ..sijawahi kukasirika hivi..Crying out is what is helping me for now.

Wanna let evry1 ambae anahisi au alikuwa Anaamini yale yaliokuwa nayaongea katika Kipindi kuwa B12 ni Mpz wangu ajue sio kweli ni Mpz tu wa kipindi and sitamtaja tena kuepusha shari.

Ala za Roho its about slow music and Few words and that is what the show will always be..kama kuna mtu nilimkwaza in any way pls learn to Forgive Me.. am just an Ordinary Person maybe sijui ninachokifanya..Sina Mpz na niliekuwa nae alifariki na ni ngumu kumpata kama yule,Mungu amlaze Mahala Pema Peponi.

Ntasimamisha Website yangu kwa Muda Mpaka pale nitakapoamua.

Asanteni kwa Marafiki na Wanafiki na Kila Mtu asante kwa kila kitu kidogo mnachonifanyia,nawashukuru sana wote ambao Mnani support na Msio ni support pia Its All goood.

Am living my life for now.

Asanteni sana kwa Matusi kwa walionitukana na kuni offend in anyway.
Mbarikiwe.

Monday, August 17, 2009

Damn it..shhhhhh...She Is So Damn Sexy !!

Du Jamani tuacheni kujifanya hatusifii wasichana wenzetu...dawg !!
She is so damn..Basi mkikaa na wapenzi wenu wavalieni hivi chumbani sio Mikanga ka bi tarabushi..
Hata kanga Moja unatiatia maji hivi..au hivyo hapo au wanaume mnasemaje??

Sunday, August 16, 2009

OMG-Weezy & Baby Bash Kissin??

OMG..
Are they kissing ?? Au Naona Vibaya?? pls tell me au ni EDITING ..These Peeps Must Be Kidding me !! My Weezy au??wewe unaonaje??are they Kissing??lil wayne n Baby Bash??Is My Weezy A gay??

Girls Face Of Africa hii..

Ramatoulaye
winner last year

Real Face Of Africa way Back
African American Face Of Africa
Its now and Please visit www.voa.com au www.faceofafrica.com for more info kwa wewe ambae unataka kushiriki amd trust me we will support you..

Diva Wit Sweethearts

Jamani Hapo ilikuwa ni sweet easy..
Sweet Easy babes!!
live Music Na THT..
Wa Kwanza Ni Smilling Face dats her name Then Diva Aliesuka Msuko Wa Yeboyebo dats what we call in Tzee then Sarafia Peter Mama ake Diva wa Clouds Fm ambae ni Producer wa Bambataa na Mwandishi Pale Mwanachi Communications.. ambae pia ni Mkali wa Cutwalk na Cut drop Hasa Aki go out..wewe!!then Zamaradi in Gold juu Mpaka down..mtangazaji wa Clouds Tv na Leo tena Movie Leo anaesifika Kwa Kujua Kuvaa kwelikweli..
Kama Utakuwa na wewe na Picha yako wit ur friends nitumie kupitia
juju1921@live.com then na Details ntaziweka Hapa Ktk "DIVA255 PICTURE OF THE WEEK"au ntumie ktk twitter and Facebook As Loveness Love Diva..

Saturday, August 15, 2009

Is Blue your Favourite ??

if blue is ur favourite pls tell me inapendeza na rangi gani if u wanna go out...

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAVUTIWA NA LIL WAYNE??

1.Swagger lake linaloutingisha ulimwengu na kuwafanya wahisi ana zaidi ya swagger wanalolisikia swagger lenyewe hasa???
2.Attractive??duu weezy F hana U attractive wowote Compared na Rommy wa Clouds Tv ..he is Gross!!but...they really luv him to taking their g-string off .. doll!!
3.Anaweza Akawa Mdogo ila ame Pack mzigo wa Kutosha ndani mwake..weezy babes..
4.Au akili zake nyingi coz nasikia Jamaa ni intelligence mbayaa..sawasawa??hopefully umejibu sawaa..
5.Hes thug and deep down inside all the women want a thug including me..i luv thug luvin..eew!!
6.Its not about the look .. this man has a gud heart..au they are attracted to his $$$$$??
Tell me what u think coz me pia ni muathirika wa kumpenda lil wayne..

Kumbe Hata Hollywood Jamaa Hawa''shave??duu

This Style Is Good Hope Cassie Kamwiga SHAAAAAAAA..........SEMA za shaaa nzuri ila ya cassie ka shave vibaya kwa kichwa.kunyoa si ndo kushave sasa..lol
Jamani msinune ile dawa ya kuongeza Makalio Pale shoppers plaza na kwakina manywe..kuna mazoezi kama haya ya kuongeza Makalio na Miguu..duu!! Ze Dada Is Fit..

Check Christiana Millan alivyokumbatia Jamaa then Kwapa jeusi na lina manyoya..ha ha ha
Wakina Flani wakienda kule watajipatia kina Dada wa Hollywood Eeh??hahahaaa
Maana Jamani kuna wengi hawashave kina kaka na utawakuta wameninginiza kwapa katika daladala na huku TZ twaona ni uchafu ila kusema ukweli ni Fashion hiyo jamani au??

Kwanini Wanaume ni Wagumu ku;admit when they Luv to Death..They Cant Say I luv u too..why??

Hata Kama Mnaangalia Kama Hivi then u went telling your Man u luv him..hajibu Atajifanya anatabasamu na kuuliza Really??doll !!
Huyu Mama Anachungulia Mtoto wake akipigwa Kiss na Jamaa..anasubiria Asikie Akiambiwa I luv you too na mkwewe lakini wapi Jamaa a kiss tu Hasemi kitu..mh??Jamani mbona N'kazi..mh!!

Dada kaongeza Hadi Ma ufundi ya Kucheza na kila kitu Mshkaji kimya anaonyesha vitendo tu Tu..Hasemi i luv you too..


Binti;i Luv u................................Mshefa;thanks sweet,Let me hold you tight bby..hasemi i luv u too
Jamaa kaamua hadi kubashia mpz ili kukwepa macho yake akiambiwa i luv u..azuge kidogo:lol
In Our country na Nchi nyingine chache nizijuazo mimi za Africa,kuna Case ya wanaume wachache kukubali kusema I luv u too..the rest ni Wagumu sana ku' admit Loving back....
Nchi Kama serbia kuna Mwanamama ambae alikiri ya kuwa Mpz wake huwa hasemi i luv u too anaguna tuu..Mpaka anahisi labda kweli hampendi na matokeo yake anamtumia kimapenzi but hao wanaosemaga i luv u too..wanamaanisha kweli au ndo sound za hapa na pale..Ni mwanaume gani bora kwa mwanamke.
@anaesema i luv u too hata kama matendo na macho yake hayamaanisha ukaridhika?
b)asiesema i luv u too na kugunaguna ovyo tu lakini macho yake na matendo yanaonyesha Anamaanisha...
In this Case..why most of them Hawa 'admit if they luv too??kisa nini tenaaa....

Friday, August 14, 2009

..FERRARI IS MY NO1...

www.moracka.blogspot.com
Mo anasema anapenda sana kucheza Playstation 3 ambayo kwa tz in us$1000..yu radhi
asile..kwani during playing it hataki kupokea hata simu..wala kuongeleshwa... Searching for a Fiance @ facebook...Moracka the sexiest man in dar..add him and tuma application zako...akiridhika na wewe basi atakuwa mpz wako coz hes desperately searching for a wife......
this is sample of his new ferrari which will be here soon in Dar..juu playstation annayotumia and ferrari perfum yake..doll!! dis dude s fashionable

his fav music s rnb..hiphop..fav food chapati,maharagwe..Choice apendayo for a woman-awe msafi nje na ndani,anajipenda,awe sexy hata kama sio mzuri..asiwe anajaza make up saana na awe natural .. awe mvumilivu,mtaratibu,good in bed,ajue kupika...ajue kutafuta hela,maisha ya sasa hivi sio ya kukaa tu ndani mwanamke...luv goin out&havin fun ila wifey asiwe mzururaji mara leo corner bar, mara didis masaki..
ajiheshimu-asiwe mtu asieeleweka ..and anapenda kusikiliza clouds fm the People stations.
Searching for a wife..u one of them ??u wanna be with him??

Local Goss: International Gal!!! Nonhle Thema to become the face of Dark and Lovely in America and Worldwide

local hottie nonhle thema yuleyule alienifanya nikawa diva,ofcoz kipenzi cha wengi hasa wanaoangalia channel o,ameondoka channel o and now anafanya kazi katika vusu tv as currently a tv presenter in new york..na amekuwa new face Wa Dark and Lovely na yuko kwa Campaign us and worldwide!!yeah u heard it right.....................
ka share hayo na twitter ambayo mimi pia am that twitter member,you can even join twitter by clicking http://www.twitter.com/ and sign up ili tuchart kama katika facebook vile.

...MEN MEN MEN !!





Ni Men Men Men..ni kweli .. high hills...make up..ni kweli wanaume wanatufanya tuwe tunavaa high hills..tupake make up..
aina yangu ya make up ni sleek and lipstick sio sana,lipbum ndo sanaa..am not doing it for any men,am doing it for myself...is this real .. men men men??

Thursday, August 13, 2009

Runway To Reality

Hi!!
Mambo Diva??
me mzima napenda kukupongeza kwa kipindi chako unawapa vijana mafundisho mazuri..
jina langu naitwa GOODLUCK nasoma DODOMA UNIVERSITY ENVIRONMENT,
Napenda siku moja nikuone coz i real like the way you speak and how you explan different things.
Nimependa malengo uliyo jiwekea kununua kitanda kizuri with your money..
GOD HELP YOU.
Napenda pia unavyo mfanya MUNGU kuwa ndiye kila kitu,i have a lot of things to tell you but let me end here today.luv u sister..
and i think you will communicate with me through this number 0717.....
BE BLESED&NIC TYM

Diva Reply..
Thanks Darling I really Appreciate .. its hard kupata watu wenye kukutia moyo kama wewe coz wengi wanakutukana na kukufanya uwe uncomfortable but thanks to God and Few Peeps..am a surviver katika hili..Be blcd..

Hate It or Love It: Meagan Good’s New style

Damn!! look at those Boobs..uuw i luv Boobs Jamani zionekane kama hivyo..B12 Umeona Boobs hizo??coz i know u luv her a lot..
she is so damn Sexy.. The way alivyokuwa ana look alipoigiza Us Delivery From Eve..before look yake Mpya..Boobs Zake..ew!!
Katika Maonyesho Ya VIBE Hapo na look Yake Mpya..
Me nimependa ya zamani zaidi na wewe je??ipi??zamani??sasa??
Meegan Goods New Style.Mwenyewe anasema Ipende Usiipende Ndo alivyo kwa sasa..

Unaikumbuka 227??

Huyo Bibi Unamkumbuka..Jamaa wa kati je??alikuwa na Gf wake Problem sanaa..unakumbuka??Mzee wake je vituko Vyake na wifey wake??lol that was really long time aise
Huyo hapo juu alikuwa Dada ake Sandra na sandra..that time nilikuwa Primary..na wewe je??

Unamkumbuka Sandra wa 227 na yule bibi aliekuwa anaonekana Katika kidirisha??ila Mostly Sandra Jamani..alikuwa anatembea Ka Robot...