Wednesday, September 30, 2009

HUWA UNAZIMA SIMU YAKO UNAPOLALA??

My Apple-I-Phone
Zamani wakati nik shule nilikuwa sizimi simu yangu nikiwa nimelala.
ila kusema ukweli Tangu nianze kufanya kazi na kutoka ofisini saa sita na robo usiku,nimekuwa nikichoka sana na kujikuta nikizima simu yangu wakati wa kulala na kuiwasha ninapoamka.
Wewe Je huwa unazima Simu yako unapokuwa umelala au umepumzika??
Maana simu ina umuhimu wake .. Je Kwanini Tunazima simu Tukiwa Tumelala??

Tuesday, September 29, 2009

The One I Wish To Have..

Pretty lil Chalsea wit his Dad Smile..lol!!i luv you cutie Pie..

Monday, September 28, 2009

I LUV YOU.I MISS YOU,NI NJIA YA KUONYESHA UNAJALI..

Jamani kwa nchini uingereza kusema I miss you au I luv u ni kuonyesha unajali..kwa Tz nako??
Ule utaratibu wa Kutumiana barua na kuandikiana Mashairi ya Mapenzi umeisha kwa ajili ya Sms na Simu na Facebook na twitter..
Lakini ni kweli unaposema i luv you au miss you una maanisha??

Pls Guys nishaurini..

I've been in love with this guy for 4 four years already,we dated 2 years but broke up about 2 years ago.I really regret breaking up wit him sababu kabla sijagundua ni kiasi gani nampenda,ila kwasasa ni rafiki ake ila anasema bado ananipenda..and in a sincere way
ingawa kwa sasa kila mtu ana uhusiano na kila mtu ana Mtu wake lakini siko moyoni mwake tena kama ilivyokuwa mwanzo,inaniumiza sana na kila nikijitahidi nashindwa,siwezi muacha sababu nampenda sana,nampenda sana kiasi cha kumsaidia katika matatizo yake,mpaka matatizo ya kimapenzi ya kwake na msichana wake..
Sijui chakufanya..kumwambia ukweli,kumuacha nahisi nahitaji msaada..sana sana ..diva na fans wako nishaurini mwenzenu naumia kwa mapenzi..

Wednesday, September 23, 2009

GOSSIP GIRL SERIES..

kama wewe ni Mpenzi wa Series utakuwa umeangalia Gossip girl mimi ndo nimemaliza kuangalia season 2 naingia season 3 ..
Man..ukitaka kucheka na Relashionship Drama zimejaa humo,kuna Blair,serena,dan Humphrey na mdogo wake Jenny na Rufus na Lily..kuna Yule anaitwa Chuck Bass Ndo Duuu vituko na Pose Kibao...
Watu kuachana na kurudiana ndo kumejaa humo..multimedia inaatumika mle jamani kusambaza umbea..ha ha ha!!
vanessa na wengine jus look hapo video yao itakayokuwa na Season 3 Speed Up,cant wait to see it!!

HIVI KWANINI MAOFISINI KUNA MAMBO YA UMBEA SANA???

Kazi kunong'onezana kila kukicha kwenye korido..wakati nasoma ilikuwa Chooni..siku hizi hizi charting na internet ndo kila saa wanatumiana msgs mara sms kwa simu na hivyo wanakata 500 kwa sms siku nzima ndo mh!!gossip zinaendelea the whole day..


Kama umewahi kuona Tabia za Ki shuleshule zimejaa sana katika Maofisi naweza sema yote..
kuna Baadhi ya watu wamekaa umbea tu hawana lolote wanalowaza zaidi ya Kufuatilia flani kasema hiki mara kile,kafanya hivi mara vile anaishi hivi mara vile,anatoka na huyu mara yule..
Kwani huwa hamna shughuli za kufanya than that??
Mwanzo nilijua ni Ofisi za Kiafrica tu lakini Jamani Mpaka za kizungu Vimburumatariduni vimejazana..
tatizo ni nini??nini kinakuwa kinachangia maana hivi vitu vinakata siku sana..kuzushiana mambo,kuchekeana kinafiki,kupakaziana Mambo ya Ajabu tena watu wazima wanafanya hivyo hawana hata haya Jamani..
Tatizo nini mimi hata sielewi..pls guys Umbea maofisini unasababishwa na nini??maana ukikasirika wao ndo wanafurahi..ukiishi maisha yako watakutafuta tu by any means..wakuchokonoe ili useme uambiwe huyu nae..ukikaa kimya unamatatizo yanakusumbua..mara wewe si rafiki yako..halafu wewe na Rafiki yako bwana he he he !! stop he he he Me slut!!
Tafuta Gossip girl season 2 umbea nao Pale ndo umelala..mara mnagombania mwanaume na Rafiki ake..mara x.o.x.o 911..mara blah blah..wasioyajua wayavalia njugaaaaaaa...wanawake kwa wanaume wote..
lets back to the Point kwa nini umbea maofisini??

Ni Kweli Loving a Player is the Hardest Things Ever??

Jana naanza tu show nikapokea Barua inasema hivi..

hi Diva...
I fell in love with u,and then u broke my Heart
I knew to love a player,I was Wrong from the start
Loving u wa like ripping my heart mike,I refuse to look around me and see
all the terrible things you were doing to me..
I was in my own world and didint see all the trouble u were
I was Deeply in luv..
Now all that is ruined , u see,all because u played me
You had looks,u had charm,u were slick with your words
you knew just what u have to say
i was foolish to think,we were made for each other
Loving a player is the hardest things ever..my heart was broken into two
i know now as i look back on my past
Dating a player will never last
I wont date anymore Players.
But i still always love you mike.
Its Me nicole from Arusha.
UTAJUAJE KAMA MPENZIO NAE ANA CHARACTER ZA U-PLAYER??
Kwa upeo wangu kwa hara
@kila wakati yuko Broke..coz atm yake ni kulipia bill kwa wengine..
kaharaka tu ni kwa..
@ana spend less time na wewe.
@hana Maneno na Matendo mazuri na wewe tena
@Anakuwa anavutia sana,manukato na vitu vya thamani kwake tu ili avutie wengine
@Anakuwa na hasira za haraka sababu ya u-player wake ili akukatishe tamaa
@Ana badili simu na namba ya simu kila kukicha,hawezi ongea na simu wewe ukiwepo na anakaa na kuongelea hata chooni na kila wakayi anatembea na simu yake,milio ya simu na ujumbe mfupi vinakuwa kila maraiukiuliza ni history..au ugomvi living under his/her sportlight
Je una nyingine uzijuazo???

Tuesday, September 22, 2009

MSINISEMEEE KAMA NAPENDA KULA!!

Jamani napenda kula mimi sana,kila siku nakaa naisubiria misosi..ila cha ajabu wala sinenepi...
Najitahidi sana lakini wapi sinenepi..my Boyfriend anataka niwe mnee kidogo lakini wapi..pls nisaidieni nifanye nini niwe mnene maana ntaachwa kisa wembamba...
Mtoto wa watu kila siku anakaa na anaenda nifanyia shopping ya nguvu ila wapi??nakaa nakula nasemwa lakini wapi...mara bi dada anakula huyu wala hanenepi hata robo..
my boyfriend is about to leave me kisa Mwembamba Diva nifanyeje jamani??

Friday, September 18, 2009

AM IN LUV WITH MY TEACHER

A boy-in music-kisa swagger za Teaccher!!
Sometimes najichanganya na kusikiliza Muziki tu Ma Peeps!!
My Teacher smart mbaya,her smile me ndo nakuwa insane,her bags kubwakubwa wish to help her but duuuuuuuu inakuwa ngumu sana coz she is serious sana jamani mimi ndo nishazimika kimapenzi ndaani ya Penzi la Teacher!!
i luv her eye sana

Teacher akija class diva hata kusoma siwezi..hata kufanya assignment hakuji,dont know what to do jamani in luv with my teacher,
Jicho lake mi ndo hoi,kaweka mboni zenu wanadada..Akiwa anaandika katika Lecture ndo huku nyuma swagger lagger me nakuwa Pee Pee!!
Nifanyeje mwanangu maana..never feel like dia Before ..
pls Jamani nishaurini Fans wa Diva yoo..
her school uniform swag turn me on..
she looks good diva..

HAIR DO'S..

Rihanna caught without the Braaaa
Amber na Mkao wa Matata..so sexy
Hii nimeipenda - Hair Do Ya Brandy
ukitembelea nuruthelight.blogspot utakuta that picha ya Brandy and Amber kim and if u know or u dont know kim kardashian she is my other Diva so ..
Anything kuhusu hizi Picha ??Nude comments will be blocked by a friend whos helping Updating it..
nice day

..NISKIZE MIMI..

Anaitwa Romy Jones Romeo..its ya Boy from Clouds Tv and he is Smart isnt he??
doin Music and his song inaitwa Sema nini unataka One of the best..
Ana girlfriend..anapenda kutoka kuwa na washkaji,drinking hasa Weekend na anapenda kuskiza Music..
he is my friend .. your friend Pia..
his fav-ubwabwa,maharage na nyama mskizeni yeye..
anapenda kukaa na Mademu na ana Enjoy sana-Mskilizeni
Anampenda Drake na Jeremiah..
Kila ktu Mpango mzima na mama ake anaitwa Shani..anampenda sana!!
Anaishi Kino Clain..Mengine Zaidi utapata hapahapa na kutoka Clouds Tv coz hes one of em..

Thursday, September 17, 2009

BABU WEED..

Naona Ongezeko la watu katika Site yangu linakuwa Kubwa Thanks Kwa Michuzi.
tunaendelea vilevile na yaleyale ya U diva-yoo..
Unamjua Babu Weed??Uncle Joe wa Tyler Perry..ndo huyu..
dis Grandpop ni Mvuta Bangi na Anakuwa high kila wakati na anapenda sana utani na kuropoka Ropoka..watu dizaini yake wapo katika hii Jamii yetu jamani maana..but through dis Babu umejifunza nini kwa wewe uliemuona then Swali ukiwa na Babu yako Mvuta Bangi utakuwa Unafanyaje??una mnunulia au maana usipomnunulia unaonekana hauna Heshima ati..so utafanya nini ??maana babu matata kweli??nipe kisa cha Babu yako matata yeye huwa ana kituko gani??

Tuesday, September 15, 2009

ALA ZA ROHO SEASON 2..

I can't believe the season Two of Keeping Up with the Diva is here already! It feels like the show just started! Time flies so fast!
The season is pretty intense.
there is a lot of relationship drama in it this time via Clouds Fm Ala za Roho show witcha Diva Loveness Love..
Kuanzia nne kamili mpaka 6 kamili za usiku..
Everyday Jumatatu Mpaka Alhamis


Diva With The Dream Foundation


soon ntaanzisha Diva The Dream Foundation ambayo will be there for Charity.There are many ways you can give to the Dream Foundation and help make dreams come true. Stay Tunned For More Details.


If U HAVE ANYTHING WRITE TO ME VIA JUJU1921@LIVE.COM

My Faves!!

Its Good kwenda Beach na Mpz wako weekends.lol!!
My Bey Bey
My J.H
Jennifer Hudson is one of my favorite divas! I saw her sing at Michael Jackson's memorial and she was so amazing and looked stunning! Who would ever have though that an American Idol contestant could go on to win an Academy Award!? She was absolutely flawless in Dreamgirls... talk about a diva movie!! Considering everything she's been through in the last year, she has come out on top, stronger than ever and she is a true inspiration! She is truly a diva and I can't wait to see her

I see being a 'diva' as a positive thing! To me it means a strong, independent woman who knows what she wants and goes for it! I'ma, I'ma, a, diva!! Haha.

Monday, September 14, 2009

My Top 10 girls' Night Movies

I love girly movies!!

Whether you're with your best girl friends or just spending time with yourself on your couch, there's nothing better than staying in and watching a girly flick. The Notebook has to be one of my all time favorites. Rachel McAdams is soo stunning! I even know guys who love that movie... and not just because of Rachel! What are your all time favorites?

1. The Notebook
2. Ps, I Love You
3. Bride Wars
4. Pretty Woman
5. Sex and The City
6. He's Just Not That Into You
7. Clueless
8. The Holiday
9. The Diary of mad black woman
10. A Walk to Remember

KANYE BWANA ...

Sunday, September 13, 2009

WHY IS SCHOOL UNIFORM EVEN SEXIER WHEN YOUR NOT IN SCHOOL??

Kama umechunguza hizi Fashion za Siku hizi utakuta mtu kavaa nguo za shule tena zimepigwa Pasi Vizuri na Tai inaning'inia..
Kuanzia mabinti Mpaka wawakaka,wengine watu wazima wanavaa hivi ila way back walikuwa wanakimbia shule..au wana vaa ovyo bila kuchomekea,lakini siku hizi wahudumu wa baa wanavaa,makondakta wana vaa..wa Fashionista wanavaa..why??
sexier than before??au ni kuzidhalilisha tu hizo nguo??maana wengine hawalipi hata nauli kwa kujifanya wana wadenti kumbe fashion tu..
kisa nini??

Saturday, September 12, 2009

LIYA KEBEDE NDOTONI..TWITTER YAFANYA NIPATE NAFASI YA KUWA NA CHART NAE..

Liya Kebede born January 3, 1978 is an Ethiopian model who has appeared on the cover of US Vogue twice.
According to Forbes Kebede was eleventh-highest-paid top model in the world in 2007.

Nilipojiunga Twitter kabla ya Facebook nilikuwa napata bahati ya ku search yupi nataka nijiunge nae na kujua kuhusu yeye na mafanikio anayoyapata and huyu alikuwa1 wapo,nika send request na nikakubaliwa,kama kipenzi chake kwa mavazi yake na picha zake nikapata kujua kuhusu Liya Kebede..Modelling Jamani inalipa sana wenzetu..Binti ana foundation yake mwenyewe huyo..
Here wit Oprah Kwa Interview..hivi Nakaaya ile Interview na Oprah alifanya Jamani??
maana sikumbuki iliishaje??mlioangalia nipeni Ripoti plssssssss au haikuwepo??
Akiwa katika Pozi Jangwani..Hapa inaonyesha Jinsi asivyotupa asili ya kwao Ethiopia..
I luv her Hair Do..
Natural Beauty..
Kebede was born and raised in Addis Ababa, Ethiopia. A film director spotted Kebede while she was attending Lycee Guebre Mariam and introduced her to a French modeling agent. After completing her studies, she moved to France to pursue work through a Parisian agency. Kebede later relocated to New York City. She has remarked that the modeling industry in Ethiopia is quite different from the catwalks on which she is now ubiquitous. In contrast, in Ethiopia she had to provide her own shoes for each runway show.
HER ROOM MY PEOPLE
Quotes
"Honestly, I wish I could've lived in their time. They had so much fun." – Liya on the supermodel era, Vogue
"Every day we hear about the dangers of
cancer, heart disease and AIDS. But how many of us realize that, in much of the world, the act of giving life to a child is still the biggest killer of women of child-bearing age? That over half a million die every year? Or that 3 million babies are stillborn? Or that another 4 million die during the first days and weeks of life?" – during her acceptance of the 2005 UN Day Award.
Personal life
Kebede married Ethiopian
hedge fund manager Kassy Kebede in 2000 and they have two children together; son Suhul (b. 2001) and daughter Raee (b. August 2005).As of 2007, the family resides in New York City.
Aside from being a mother of two, a model, an actress, a humanitarian and a goodwill ambassador, Kebede has also designed a children's-wear line that are made from Ethiopia. Kebede says she hopes this will part a sea of change for her home country. "It's wonderful to be able to donate and help people," she says.
U Can Join Her through Twitter as I did..
any comment kwa Modelling Agency wetu wa Hapa Tzee..coz hawafanyi kazi yao ipasavyo..tuna kina Liya kibao Nchini Mwetu but Twafanya nao nini zaidi ya Wengi wao kuchezewa na Kuharibiwa Maisha??Jamani Hamjifunzi tu??inatia aibu .. huruma Pia..au nasema uongo ?? Nikosoeni Kuhusu hili Labda naona na Jicho la Pembeni Zaidi ya La kati..Muulize Fa anajua dada zetu ma Model wanavyochezewa wakati ni wazuri na wakitengenezwa kama huyu watafika Mbali maana huyu pia hakuwa akijua kiingereza kwani ni Mu Ethiopia lakini sasa??yu wapi??top of the top aisee

GUCCI BAGS AND SHOES

High Hill Ya Gucci hiyo Jamani..as u can c unavalia nguo zozote unazotaka kuvaa coz iko covered na rangi zote..
Rihanna For Gucci..its like she s flying!!
Tonni Braxton..yuleyule alieimba Un Break My Heart na nyingine kibao..anapenda pia product za Gucci na Most Gals wanaopenda kuwa wanawaka huwa wanavaa miwani ya Gucci,Hata Dj Fetty pia anavaa miwani ya Gucci ni Wazi Gucci ni The Best..
Saa inawaka Silver aina ya Gucci..mh!its really good
Dawg-Bags Gucci
Dis Is Reall good..Fashion ni kitu muhimu kwa mtu yoyote anaependa U smartashi..ka Bi Dada hapo nusunusu bado she is Smartashi sana au??
Kama umeengalia WEDDING PLANNER YA JLO utaelewa why am talking about Gucci..kuna sehemu kiatu chake cha Gucci kiliingia Mtaroni na kisigino kiliingia pia na Gari ilikuwa Inakuja,alikuwa yuko Radhi agongwe than loosing her gucci shoe,Mpaka Pale alipokuja kuokolewa na Mtu na Ku save kiatu chake kama kilivyo..
GUCCI ..

Friday, September 11, 2009

HII NDO NINAYOTUMIA KWA SASA..WEWE WATUMIA MANUKATO GANI KWA SASA??

Ndio Hii..smelling good sana Inauzwa Pale S.H AMON
Fox Brown,Female Rapper using it too..

Her Name is Florie livin in sa and she is using it too
Last week was Broke Mbaya as kama kawaida Dad Yangu akanitoa..huyo wit A friend Mpaka S.H AMON nikaikuta Jamani US$150 nikanunua..
Nikawa Broke tena Hapo maana kwa life yetu ya Tzee hiyo Hela na survive Mwezi Mzima..But Kama asemavyo My Best Friend Juzaima Mahmood Waziri,she use to tell me UMARIDADI WAFICHA UMASIKINI na Ndani Ya Sex In The City unakuwa unanukia kama kina De-cox LMAO!!
IMEANDIKWA LOVE-SEX IN THE CITY
Sex In The City Love Perfume by Instyle Parfums All products are original, authentic name brands. We do not sell knockoffs or imitations.
See all Instyle Parfums products
Customer Comments:
Excellent product, price and service. 100% satisfaction. Well done!Roberto Z. (Eastbourne, GB)
Customers who bought this item also bought:
Sex In The City Lust by Instyle Parfums
Sex In The City Kiss by Instyle Parfums
Cool Water by Davidoff
Paris Hilton by Paris Hilton
Juicy Couture by Juicy Couture
Anitwa Deborah Cox na Anatumia Perfum ya sex In The City..
was watching her documentary and akawa anasema new Product ya Female ambayo inauzwa sana kwa sasa and was like ngoja na mimi ni test Product hii kutoka Gucci thou Gucci is my number 1.the first gucci Test was from my Grand ma yeye alipewa zawadi na sister angu anaitwa Rachel from usa na yeye bila kujua kama ile ni the best kanipa mie Bi Dada wala sikujivunga na ninavyopenda Perfum nika test bwana..Sifa zake ndo hizo ni nzuri na inanukia vizuri sana..ila ni bora kujaribu diff test coz kama mimi ninge stick na aina 1 tu nisingejua hii uzuri wake..
wewe je huwa unabadili manukato au unatumia ya aina gani??
Na ipi unayotumia kwa sasa na ina uzuri gani na sifa zake ni zipi??

Tuesday, September 8, 2009

KWANINI MWANAMKE AKIWA NA MIMBA VISIRANI VINAZIDI??

Jamani inasemekana wakati tunapokuwa na Mimba waume zetu wanasema Huyu nae Kang'ang'aniza mpaka kapata mimba,kama hapo juu..eti nas anasema SHE RAPED ME..
ha ha ha!!sure sucker..
visirani kila kukicha Mara Janaume silipendi hili na Hilo Janaume nalo Lajibu..muone tumbo ka Pipa wakati anatarajia mtoto hapo..
I need to know..ni kweli Kukiwa na Mimba haya mambo ya Visirani Yanazidi??

Monday, September 7, 2009

SEMA KUHUSIANA NA HIZI PICHA PLS..

sema anza na hii..mimi naona the beautiful woman on her freakum dress-dress to kill..wewe Je??kama waona si vya maana ka comment huko kwenye maana..kuna my people hapa wata comment tu..sawasawa??najua kimoyomoyo umesema sawa hatakama hutaki kuonyesha..Bey Bey na Mariah J bridge hapa katika STAND UP 4 CANCER Campagne..she is an alter Ego kweli
Brandy nae kalala ka asubiria Operesheni vua nguo..mmh!!

Mh!!Mwenyewe keshasema ni add nini tena??
Video ya Sex Magic si ya kuwasha Mbele ya Watoto..Ciara!!

Sasa Bandugu wewe andika unayooona wewe katika hizi Picha na sio ninavyoona Mimi..sawasawa??Jibu Basi Sawaaaa..

“First of all, prostitutes, a lot of the times, have much cleaner pussy than regular girls.”

Jana was cruizing into diff sites nilichoona Kimoja kilinishtua sana..kuna Dis Dude ambae ni Celeb was talking about dis...Eti Maumbile ya kina Dada Wanaouza Utu wao kwa ajili ya Pesa..au PROSTITUTES kama wanavyoitwa Ni Smart sana Sehemu zao za siri kuliko Dadas ambao sio Dada Poa na wanakuwa Smart kwa ajili ya BIASHARA wanayofanya..
Jamani Is This True??Mimi huwa Natoka Hapa Ofisini Usiku na Huwa Nawaona Dada Poa wengi tu,sio wote ambao wako Wasafi kiivyo,wengine wako kawaida tu,wengine they are Dirty Mbaya and Sijui why Some Pees wanasema kuwa Dada Poa ni Wasafi kuliko Dada ambao sio Poa ..Hasa Maeneo nyeti..
Lets Be Real,Bila kujifanya Watu wa Kutoongelea vitu hivi,hamna cha ajabu hapa..
Do u think kuna Point Hapa??which is which ??are they cleaning em up for bisnee au Usafi wa Ndani Ya maumbile Ni Mazoea tu??

Wednesday, September 2, 2009

RiRi na Matiti Yake

cheni ya Kiuno tu ..eewww!!
Akiwa studio doing some vocals
She rocks na style zake nyingi zimekuwa Mfano wa kuigwa kwa watu wote..she is Fashionista
Tatoo mpaka huku dolls and ana nyingine ile ya kwenye bega hapa..
Mh shadee umeona hii??
Nani kasema Hawaivi??
Ficha Mwenzangu wasione
Mh..Poses Jamani Bi dada wantisha
She Is Beyond Beauty good skin and look Pia
Oops!!mh..