She is My Number One anaitwa Angie Martinez,american Rapper na radio personality,anawatoto wawili and she is running hot 97,ana link kali anapo introduce nyimbo,anaposema entertainment news au shout out na kila kilicho kizuri on air - dis doll s my number 1..i luv her..google podcards zake um skie anavyo..fetty anasemaga Kukisanua(Bi dada anakisanua kweli)Thanks kwa Sebastian Maganga who s our Program Manager kwa Training yake ya PODCARDS Maana..its like u need to learn everyday kuwa Mpya zaidi plus Talent yako..doll unakuwa mkali sio kukaa tu na facebook kuna ya kujifunza jamani kwa internet..yapo mengi online.xoxo!!
She s my other doll,my other diva and she rocks kama unaangalia O-ACCESS lazima utamuana,Mzanzi Ride na Oboma zote za Channel O..now yuko vuzu tv na alionekana katika BBA4 Alipoingia kama Celebrity..she s hot..i luv her Everythn,Face,hair Do and Rangi yake natural and uongeaji,uchangamfu na kila kitu chake..link ana vyo interview na u-smart wake!!Nonhle i luv u...kuna siku twitter updates akanijibu bwana luv u too Hun!!duuu nusu nipasuke kwa Kufurahi...thanks kwa kuwa friend wa twitter and facebook!!
Holla!!Ni Dark n lovely model kwa sasa na msemaji mkuu na Picha nyingi za Dark n lovely now zina Picha yake.
Dina Wote Mnamjua nani hamjui..blog owner,Radio Presenter wa Leo Tena,Kuna Siku when am new on air nilizungumza kwa kujingata,Bila woga wala aibu akaniambia Love hivi uliongea nini leo kwenye Power Breakfast??i was like najua..akaendelea Bwana,maana Love anaweza akawasha mike akaongea kitu mpaka ukajiuliza huyu kwanini kawasha mike,next time ukiwasha mike hakikisha unajua unataka kuongea nini..umeskia eeh??nikajibu sawa..maana wakati wote nilkuwa kimya and from there aise nikapata funzo jipya la kujipanga before kuongea maana nilikuwa nafanya freestyle sana..mpaka kuna kipindi unauliza nimeongea nini..Mike Fever!!kila Mtu inamkuta sana hii na uwe tayari kukosolewa ndo utafika unakotaka kwenda..
so my sis thanks for that and i l luv u..u know that...tune her kuanzia 3-7 mchana kila jumatatu mpaka ijumaa upate good voice n good music na uchachanduke na Chachandu la leo tena..Yahoo..babuu wee ya Facebook ntokee Hapa!lol
Fina Mango nilianza kumsikia Muda Mrefu sana Jamani sana,Sauti yake,alivyokuwa anacheka na kila kitu chake,was Inspired sana na huyu mdada tho sijawahi Pata nafasi ya kuongea nae ila Na mkubali sana wish arudi katika Airwaves tuendelee kumsikiliza..was Enjoying her much..she is good,really Good!!nilikuwa naamka asubuhi kusikiliza Powerbreakfast yake na Masoud na nilikuwa sikosi kabisaaa...amebarikiwa sauti na ujuzi wa kuyapanga maneno na kuzungumza kwa pose,aliniua ile siku aliyo mu interview Jay Z alivyokuja Tzee na Kujiita Mohamed Hovee..that was the best interview ya simu ambayo sijawahi tena isikia mpaka leo..natamani nimuone tu nimpe mkono!!aniambukize yale ma Diamond na ma tanzanite yake!!hahaha!!
Salama Jabir-Ukimchukia Utajijua Mwenyewe ila Huyu Dada ni Mkali,ana muonekano wa Ki-Supastaa..nakumbuka wakati alipokuwa anamtafuta mrithi wake na Program yake ilikuwa aired EATV mimi nilikuwa namsikiliza sana na sasa nayaona,mengine nayafanyia kazi maana alitufunza wengi hata ambao hatukuwa na ndoto za kuwa ma Presenter.Mkweli,Muwazi na kaleta Mapinduzi sana ya Video huyu dada.Sijipendekezi naongelea mioyo ya watu zaidi ya milioni moja maana ilkuwa ujipange ukipeleka video yako pale..maana kuna wengine watasema najipendekeza hapaa..hahaha
Way Back nilipokuwa nasoma Cambridge Tz Academy after Darasa tulikuwa tunapita pale Itv na tunamkuta nje na Wenzie,tulikuwa tunamshangaa maana kipindi kile Planet Bongo ilikuwa juu sana,kuanzia kwenye Cruz to midnight ya nyimbo za taratibu mpaka the cruz mpaka planet bongo na bss tho siifuatilii kiivyo ila upande wake unaburudisha maana kila mtu anangoja ataongea nini salama,aki mu interview mtu lazima ujiulize yule anawezaje kufanya such interview me mbona siwezi na hiyo ndo tofauti yake na wengine and she will always be Salama Jabir!!
ninachoona kwake ni YEYE KUWA YEYE NA SIO KUWA MTU MWINGINE..She is not Fake kabisaa!!i luv what she is Doin..
Ukijifanya yeye utasikia huyu anamuiga salama Faster..unashuka coz una kuwa huna jipya..
anachangamsha sasa Friday Night Live..safi ile mbayaa!!
list yako if u like..wapi wanakukosha on air??
Wangu ndo hao..