Jumamosi nilienda zangu mlimani city and was so obssessed kuangalia TWILLIGHT FILM new Moon na huko anafahamika kama Jake na ni wolve..New Moon iko good na was there to have fun na pia nilitaka kujua vipi jamani..Edward na Bellah itakuaje..but nikashangazwa na watu wengi pale cinemas walimpenda sana Taylor Lautner..ambae rumaz zilisema anatoka na yule Binti alietolewa nishai na Kanye kwamba hakustahili kupata Vma awards as the best female,yule alieimba Love story nyimbo ambayo ni my fav sana..Hivi Penzi la umri sawa na La kuzidiana Umri lipi sawaaaaaaa???Jamani do u think iko sawa hii couple??mi naona iko sawa wewe je??and cha mwisho napenda macho yao kweli...yaani mazuri yanavutia Jamani...they are both Teenagers aise..
















