Got 379 Mails and nimesoma Mpaka nikahisi Kuchoka thou Sijamalizia Nyingi sana ntasoma Baadae,Coz They are So Many...
Askin Me Diva Ukwaap and all that...I tried Replyn zote nilizosoma and will always Reply to u guys Coz without my Beautiful fans out there am Nothing.. Really...
U Guys supporting me still and gimme reason to do it and wengine askin me about my Personal life and its like wooh...dis is Good and I had a best day Ever.. thanks kwa Love yenu and Support u ve been Givin me...
Mwaka Unaisha and i have to say thanks kwenu Nyote but here is My List..
My Dad Mr.Dionis Malinzi for telin me to go for anything i want in this World and trying new things n tellin me hakuna kitu kigumu duniani,Wewe Jaribu tu ukishindwa ujue umeshindwa ila jaribu kila unalohisi linafaa and it is working bby....
Ala Za Roho ilikuwa na Contraverse kibao but u know what..Hakuwahi kunifokea kwa hayo yote coz he knows was jus doin my job .. thanks Dad 4yo luv and support..u the Best Dad Ever..My Dad tena mr.Jamal Malinzi for taking care of me always and its Great sana hamjui tu..Maana yale mabomu ya hewani yalikuwa dooooh!!hahaha..
My Mum and my Family kwa ujumla u guys are the best luv you all...
Much Luv kwa Wafanyakazi wenzangu wa Clouds Fm wote wote....Marafiki zangu including my bestfriend Juzaima Mahmood Waziri,i luv u baby girl..yo my gal and Jessica AND Martin and Aloys Sazia,Sarah Peter and wote wote mliokuwa na mchango mkubwa Kwangu kwa mwaka 2009.
Siwezi kukaa na kuwasahau haters..
I Luv Haters .. I Luv Them Coz HATERS gimme reason to do it,so luv u Haters sana sana...u ordinary People pia mnasaidia mnapokuwa na Maneno Makali ya Matusi na Kukatisha Tamaa...
Nimefanikiwa Sana katika Mambo Mengi mwaka huu,Nimejifunza sana Mwaka Huu Mambo Mengi na Kusema Ukweli God Knows am better than that...
Nimekosea sana mwaka huu,nimepatia sana pia ila this is what we call life,so kama nimekukosea am sorry sweets..pls forgive me Mupenzi..sawasawa??hopefully umejibu sawaaa..
Nimepata Marafiki sana sana sana...ndani na nje ya nchi and they show me Luv hata tukikutana and am really surpriesed..thanks Guys!!
Am A Bit Freak saa nyingine but huwa i use to be ok fast nikgundua weakness yangu ukwaap,naifanyia kazi fast.. so my peeps kila mtu ana tabia zake tusameheane tu thats all i can say...
Mwaka Huu Jamani ulikuwa na Vituko vingi sana...Maana Mwaka huu kusema Kweli..Nilitembea na wanaume wengi sana sana na nimekuwa Malaya,Nimekuwa nikichukua Wanaume za watu hahahaha!!
yaani ili mradi tu...nimewekewa Maneno Mdomoni,I Was attacked By different peeps without no reason but u know what...Hizo zinakuwaga Rumaz tu ndugu zangu,sio kila unachosikia kutoka kwa watu au Mitaani ni kweli...sio kweli watu huwa wanazusha tu...Kama niliweza zushiwa kifo wakati niko hai ntashindwa zushiwa kashfa..Nimegundua hivyo ni vitu vya kawaida Once Nyota Yako ikiwa Inawaka..Na yangu imewaka Hasa Sio Mchezo!!lol natania tu.....
Kwa Nyie Mliotaka Kujua sana Kuhusu My Personal Behavior..am great and am cool na siwezi muacha mtu anipande kichwani hapo lazima kiwake .. tena kinawaka sana but nikikosea huwa naomba msamaha,am a bit quite muda mwingi,siongei mpaka nikuzoee..am angry sana pia ila ndo hivyo nilivyo ukintibua na mimi nakisanua pia..but above all am romantic sanaa kwa yoyote anaekuwa good kwangu...lol!!
Ila nimejifunza kuongea sana after kuwa on air hapa clouds fm ,Nimekuwa nikongea hata nje ya hapo na sio kama nilivyokuwa naanza kazi..Upole kidogo umepungua coz inabidi saa nyingine uwe mkali, saa nyingine uwe mcheshi,uongee kidogo na uwe makali hasa kwenye upumbavu..
Hivi ndo ninavyovipenda.
Kwa tz nampenda sana Lady Jaydee..she is more than who she is...Nampenda Pia Mwana fa kwa wanaume coz he is real...presenters Captain G Habash na Presenters wa kike Kwa Tanzania The One and Only Fina Mango wish arudi katika Airwaves aise!!
Nje ni Beyonce and kwa Male ni Weezy F baby...Lil Wayne!!
Iluv my gal Nonhlethema from Channel O..My big inspiration..
Wish u guys Christmas Njema Na Heri ya Mwaka mpya na Pls Play safe..AIDS KILLS
Tukutane Katika Ala za Roho After Training ndani ya The People Station ..
Byebye!