MY PROFILE INFORMATION MY NAME: JOSEPHAT RUTAIHWA AGED: 23 yrs
PLACE OF LIVING: DAR ES SALAAM
OCCUPATION: UNIVERSITY STUDENT
SEX: MALE MY BODY: EXTRIMELY LARGE.
CONTACTS: Josephat.lukaza@yahoo.com Lukazajosephat@live.com +255712390200 +255787910997
COLOUR: BLACK HOBBIES: Watching Movies, Playing football, basketball and Volleyball Going Out, Chating with friend and shared ideas from different people. And Playing Games.
MAELEZO YANGU YA ZIADA Ni mrefu kiasi.black beauty,mcheshi na mtu ambaye anapenda sana utani. Napenda kuongea na watu, maendeleo. Lakini sipendi Umbea, Majungu na unafiki. SIFA ZA NINAYEMPENDA: Natafuta mchumba umri kuanzia miaka 23-25 awe mkristo, mrefu kiasi,mnene wastani au mwembamba kiasi, raawe anasoma au anafanya kazi au msomi mwenye kuelewa,mtanashati, mcheshi,wenye upendo wa kweli na ambaye anajua kumjali mpenzi wake. Awe mzuri kila idara kuanzia tabia mpaka kwingineko diva. Ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu au email adress yangu. Naamini utanipatia mchumba wa kiukweli diva. hope so do not let me down. Hope u will give me the one i want. NB. Naambatanisha na picha zangu.
14 comments:
Cheki lilivyo fala, yana mwanaume mzima unashindwa kutongoza mwenyewe mpaka wakutongozee,alafu unasema u r a University Student, dammn you! Black Beauty baya! uko Dar kama umetoka Darful jana jinsi ulivyochoka, hebu toa lipichalako hilo! utaishia kupiga pulli kenge ww!!!!!!
loooooooh!mwanaume huna hata haya?
jisura baya picha mbaya,inaonyesha jinsi gani ulivo mchafu unaweka malapa chumbani? chupa ya maji ndani ya kabati la nguo? madaftari humohumo hata hujui maana ya maloka?
toa kichefuchefu hapo kwanza mtu mwenyewe mwanafunzi nani akutake? hayo mahari utapata wapi na ukishaoa huyo mke utamlisha madaftari?
hivi umefikiria ua umekurupuka tu?
mi naona umalaya unakusumbua wewe
siku nyingine usirudie!
mhhh jamani wenye nia tu ndo wawasiliane nae wengine kama ww anony wa kwanza mnaleta porojo tu..why jamani,kwani ww nia uliyotumia kumpata wako wa moyo unadhani ni nzuri...get a life and stop judgin pipo
MAMBO YA KIZAMANI HAYO UNAJIZALILISHA KIASI GANIKIJANA UNAWEKA PICHA YAKO UR SO STUPID
daah diva unatuangusha bwana,how com unamweka m2 mbaya kama huyo kwenye blog yenye hadhi kama hii,mademu akatongoze mtaani kwao,plz tiwekee mambo ya maana.mtu mwenyewe mweusi mpaka ukimwangalia kichwa kinauma na ndio maana hapati demu,polee kaka
hii balaa sasa.inaonyesha ni ginsi gani wanawake wakibongo ni washamba na malimbukeni.ngozi nyeusi imebalikiwa na mungu haipati kansa au ikiwa kune jua huaa haitaji creme ya kuikinga maradhi ya ngozi.so shame on u wanawake mnaofagilia uepe.ngozi nyeusi adimu saana ilaa ukitaka nyeupe unanunua dukani akina maikel wamenunua na tumeona kilocho fuatia.mzungu mwenyewe anatamani kua na ngozi nyeusi kajiaanika kune juaa kutwa nzima ilaa mwili wake ndo hivo hinhaa.washamba nyie
mdau arizona gilbert
Nyie watanzaia wengine mna tabia mbaya sana, wacha kuesema mwenzenu maneno machafu.
Huyo mtu anatafuta mpenzi kama wewe hupendi yeye, basi wewe wacha wengine wamuandikie maneno mazuri.
Wacha kusema maneno mambaya.
WASWAHILI MMEZOEA KUSEMA SO SISHANGAI KUONA MNAANDIKA MANENO MACHAFU BILA KUJIULIZA KUA NI KWELI YEYE NDO ALIYEWEKA AU LAAA MAANA TUMEONA WATU WANAHACKIWA PASSWORD ZAO HASAHASA YAHOO NA FACEBOOK SO DO NOT BE STUPID KUSEMA WATU BILA KUJUA UKWELI HALAFU WALE WOTE WALIOANDIKA VIBAYA KUHUSU HIYO PICHA ACHE WIVU NA HUYO ALIYESEMA KUWA KWENYE LOKA HILO SIO LOKA KWANZA NI KABATI AMBALO LIMEGAWANYWA ULITAKA KWENYE KABATI AWEKE TAULO AU CHUPI ZAKO???????
KAMA YEYE NDIE ALIYEWEKA SIONI KAMA KUNA SHIDA COZ HAJAMTUKANA MTU ACHENI USHAMBA NYIE.
jaman imebidi nichangie kidogo kwan hizo ndala vipi hapo chumban na hukuwa na picha nyingine coz hii haikuwa nzuri hata kidogo
That was a truly fun piece of writing..
I agree completely!!
Exceptionally well written blog post!!
I don't disagree with this post.
That was a frankly great blog post!
Post a Comment