Hili ndilo gari la Shabib lililochukua UHAI wa Ndugu zetu includin a friend Pendo au Kwa jina Jingine Julieth!!
She was Smillin Always as u see here May God Rest Her Soul In Peace!!Hakuwa Mtu Wa Drama na alikuwa so cool..
Maisha yangu yote ya zamani nilikuwa sijawahi kufika Kawe Club but yeye alinipeleka na alininunulia Chipsi na Samaki Mkubwa akiwa anacheka akasema hapa kuna siku lazima utarudi..
Tangu that day sikurudi tena Pale Kawe Club..
Alikuwa na ndoto nyingi,soon as alipomaliza Form 6 alipata Div 3 and she was nominated kwenda UD but akasema no nataka apply St.jOHN UNIVERSITY ..
Pendo ndo alikwa anaenda malizia Semester yake ya MWISHO Apate Degree yake ila Ndio hivyo MUNGU kampenda zaidi na Nampa pole sana Madee kwa kufiwa na Mpenzi wake jamani..
Pendo alikuwa anapenda kucheka jamani,maana nilikuwa natoka Push Mobiles nikakuta sms PENDO WA MADEE AMEFARIKI DUNIA..
Nikapiga simu na kuongea na Babu tale na Keisha wakasema yes ni kweli amefariki dunia...i cried thats all i gotta say,sura yake covered my face all over,nikakumbuka msosi wa ndizi aliowahi nipikia aliponi invite kwao kimara..she was very friendly na kipindi nilichomjua sikujutia kujuana nae..alikuwa aki smile always..good hearted Gurl..kweli vyema huenda mapema sana jamani...
this gurl jamani siamini..Ila ndio hivyo wote safari ni moja .. yeye katangulia tu mbele za haki!!
Pendo amefariki kutokana na ajali ya Gari la Shabiby akiwa anaelekea Chuoni Dodoma,ajali ambayo imeua watu 3 tu ..
Pole kwa Anna Mbajo pia kwa kufiwa na Rafiki yako kipenzi..
Mungu ametoa na Ametwaa Jina Lake libarikiwe..
Amen!!

3 comments:
OOh!! namfahamu huyu dada jamani tulikuwa class moja St john kabla cjaja ughaibuni. Alikuwa anajipenda sana hadi bac. mmh camini. Mungu kampenda zaidi. Alale pema peponi Amin
Jamani, madreva wetu,uendeshaji magari,... yaani basi tu lakini kama ulivyosema Mungu kampenda zaidi. Roho za waumini wapokewe pomzikoni milele...Waone mwanga wa milele ...Amina.
God...u cnt bliv ndio naona leo tht u posted ths..thnx luv..i stil cnt bliv she z gone..she ws such a dearest..she will alwys b in my heart..Anna Mbajo
Post a Comment