Wednesday, March 10, 2010

SHADEEE MCHEKI HUYU KAKUIGA MTUPIO PALE KATI..

Shadee wee njoo umuone huyu kakuiga kutupia pale kati .. huo si ulimi wako jamani shadee kweli..
Wanajifanyaga ooh watanzania tuna copy na ku pastee mwayaa..huyu ka Copy kwako Mwenzangu..
Sue this Bitch Shadee..Sue Her
she s tryn copyin yo swag WTF???

12 comments:

Anonymous said...

Hey was it necessary calling her a bitch? Coping is all over the world Diva, why not her? Then I am sure blog yako inasomwa na every age, so watch wat you put/write sometimes, maybe you should copy Mange or Jide and not calling your self a bitch, Cheerz.

Anonymous said...

halafu wewe ukitukanwa unalalamika wakati we ndio bingwa wa matusi...kisa cha kumuita huyo mtoto wa watu "Bitch" kakukosea nini?...grow up tunakupenda lakini mtindo wa matusi sio kabisaa,maana ni mwanamke mwenzio huyo if she s a bitch then ur a Bitch too....kuwa mstaarabu,najua utaibania comment yangu buuuuut ijumbe umekufikia jooo!

Anonymous said...

diva unaandika utumbo blog yako mbaya hata haijatulia utoto umekuzidi! Kama huwezi kuendesha blog endelea kutangaza hizo ala za roho ila ht hicho kipindi bado hujafit kiukweli

Anonymous said...

tatizo unajifanya cjui ndio umepinda au ndio usela au ujanja kutukana ovyo. Sio pouwa your a gal jiheshimu uheshimike matusi co mazuri.

Anonymous said...

UNAHITAJI MSAADA WAKUENDELEZA BLOG YAKO. HUWEZI KABISA KAZI NDUGU YANGU. MUANGALIE DADA YAKO JIDE NA WENGINE UIGE MFANO. KUNAHABARI NYINGI ZAKUWEKA NA KUANDIKA VITU VYA MAANA. KUBALI UBADILIKE MDOGO WANGU UCJIFANYE KICHWA MAJI.SHAURI YAKO.HUELEWEKI KABISA.USIONE AIBU KUOMBA USHAURI KWA WAKUBWA ZAKO.

Anonymous said...

Yeah, I dont like neno Bitch pls usitumie mameno km hayo ktk blog yako coz we all luv u and watch ur doing, Usi hukumu ili usije hukumiwa kwani kwa tunaofatilia blogs tunakumbukumbu nzuri tu za biff lako na Presenter mwenzio na uli lala mika coz alitumia neno km hilo kukuita wewe. pls Diva

Anonymous said...

diva huna lolote kutukana wenzako co ishu,n u knw wat ua so ugly.i don ril like u cocksuker

Anonymous said...

see people hawaelewi...blog si lazma iwe ya jamii yaweza husu kitu chochote so diva doing it this way si kosa kama hupendezewi move ova!

Anonymous said...

watsup wid u pipow????wazungu wakitukana kwenye nyimbo zao hamuoni na bado mnaimba cum on panapotakiwa kusifiwa na pasifiwe bwana stop hating.......diva ukoo juu
ITS FAIZA DAUD

Anonymous said...

kiukweli mi pia naona hicho kipindi wala hufiti kwanza mi sikuhizi sikisikilizi tena

halafu wewe ukibezwa unakuja juu lakini kubeza wenzio waona faharikwataarifa yako bado unakaushamba flani kwahiyo usijiachie ukasema eti unafanya unachoona kinafaa! omba ushauri usikurupuke maana wapo zaidi yako!

Anonymous said...

haters gone hate diva u do u grl...!! i cnt say much abt your kipindi havent been in bongo for a min but your blog rocks :)

datty said...

badilika dada matusi noma