Always Christian my my my..luv it,very Spiritual...Vp lakini Mzuka??uko poa mwana...wil welcum u back wit a big surpriese...Sawasawa??hopefully umejibu sawaa>>>>>
Nakumbuka the way ulivyokuwa wapenda swimmin .. is this the way u swim bby??lol unalo
Sean Visa Haya Hiyo Picha Kuweka Black n white ndo swag au nini ??na hujaacha vaa T-Shirt za Mtumba wewe...summer imeisha au??
Mully Upo??maana ushaanza anza Mully...Dont worry lakini soon as he will be here u will mit him coz he s your big fan sana way Back ulivyomgaragaza Dj Jaydee bills..he was lyk need ku mit Mully aisee!!
Bby bby .. Cant Wait for your Return After 5 yrs ya Kutokuwa Hapa..Miss your Everythin kwakweli .. miss kile ki thethe chak ambacho u still have it till today..
Late Night Calls hazitoshi na zile story zako wanna Hear them live lookin atchu ukinifunga Kamba..
How r u Sean BBY??U Good Good ??
yes any thing post via fansofdiva@gmail.com
16 comments:
KWELI WEWE LIMBUKENI,YAANI KWAVILE YUKO NJE BAC UNAHANGAIKA. POLE SANA NDUGU YANGU ULIMBUKENI UMEKUDHIDI .....HUNA LA MAANA KAMA KAZI IMEKUSHIDA ACHA DADA. HE HE HE HE UNAZIDI KUIHARIBU HATA KUIGA UNASHINDWA KWA MREMBO MWENZIO NURU THE LIGHT....POLE SANA
hahaha..
nuru the light ndio nani?? simjui kusema ukweli n Sean Hes My Bloody Cousin..pole yako..huko nje mh mwenzangu mie nakuona kawaida tu labda wewe ndio unakuona sio kawaida...
umekula??nahisi njaa inakuuma ndio maana unaongea tu hata usiyoyajua...nenda kale sawaaa ehh??ukishiba toa comment tena mie naweka tu..
summer imeisha au?? WHAT!!
mbona uweleweki sasa huyo sean ni nani wako? boyfriend. mchumba , kaka? hatukuelewi
hivi kumbe na wewe Diva?? nashangaa sana siku hizi kuona kila mtu anajiita Diva, na haha kwa mtu kama wewe mchafu wa lugha, hujitambui wala hujui unapotoka wala unapokwenda..... hebu acha kujizalilisha kwa kuandika utumbo kila siku..kama kazi ya kublog imekushinda fung mara moja,EBBOOOOOOO
yey sean marry me...your mo than sexiest man...
huyu kijana ? heeee
mbona mzuri hivi??
what a man?
heheheheheeheehehehehe...
looooooooooooooooo
no comment .. he is thoooo cute
Usiwe mgumu kusahihishwa wewe unayejiita diva. Huyo brazameni hata mimi nilidhani ni basha wako sasa nikwawa najiuliza na Moracka inakuwaje? Si ungesema tu kama cazin kuliko ooh mara baby, mara cute. Halafu punguza matusi watu wakituma commenthuo sio ustaarabu hata kidogo
why would you waste your time kumtukana mtu kwa sababu ya nick name yake blog yake au kuhusu chochote chake?diva kaandika what she feels coz this is her blog kama wewe unahisi anakukera why would u open her blog?acheni upumbavu wa kumchukia mtu bila sababu na kutukana bila mpangilio,haters keep off from divas blog...........coz ur down and diva go on gal get ur thing lol!
March 15, 2010 10:33 AM
Anonymous said...
Matusi yapi tena jamani??sikatai kusahihishwa ila sipendi maneno machafu coz yanaboa thats it...kama nimekukwaza pole sana !!
sasa jamani hapa mi nachanganyikiwa kwani huyu ni diva yupi????? si ni hule wa clous??
kafanya kosa gani jamani kuandika anachojisikia? au kisa kamfagilia sana huyo sijui ndo nani wake kiukweli hata mimi nilijua ni boywake anwy inabidi na wewe diva ujue kututofautishia kati ya cousen wako na kakaako!
daaah......no comment
daaaaah.....no comment
Ah ah ahaha nilikuwa sijapita cku nyingi sana du kumbe watu bado hawakukubali nilijua ni mimi tu ahhaa
imekula kwako halafu comment zote za kumsifia huyo mrembo wa kiume umeandika wewe lkn co tatizo lako bado una ugonjwa wa kupenda mahandsome wewe,tatizo wewe mbaya eti mimi .5 cast du mbona mweusi?
Ushamjua ni nani huyu am back P.A.B
Dodoma....Haaaaaaaaaaaaaaaaa.
dahhh...diva kweli u rock..as reading at ur comments yani nikacheka mpaka basi..yani pipo hating on u alafu otherz supporting n fighting 4 u...yani unapigiwa kampain bila ya uwepo wako....hahahaha kam a chama tawala..that z why u love it....n ur to high tena higher ma dear...kaza mwanzo mwisho keep it up....
Post a Comment