Wednesday, January 27, 2010

HOT ERICK BENET...

Aliwahi kuwa na Halle Berry mpaka alipotemwa....
Hes Caring...
Cute Erick on stage...i luv the dress code and jeans iko mwaaa
This guy s hot...Nimemwona katika uk show ya David Foster
Doll....the guy s cute and kusema ukweli aliimba wimbo unaitwa CHOCOLATE and kila Mtu aliimba nae.. Alipopanda stajeni alipigiwa makofi na akaanza kusema David you Crazy but i luv u man tho u crazy and After that akaimba wimbo ulioandikwa na David Foster wakati huohuo David foster ndo alikuwa akipiga Piano..
Was like wawooooo....The show was good..and the guy s hot bby..ingawa kizuri hakikosi kasoro ila the guy ni mlevi mbayaaaaaa...duh!!

JOACHIM NA LOVE STORY YAKE...

Hi Diva am Joachim Edwards au Kim Luv wa pande za wazo Hill magorofani wengi hutuita watoto wa magorofani (CLOUDS) . Ni mmoja kati ya wana malavidavi wa ukweli niliyepigika na swala zima la mapenzi
Diva it was 22 nov 2003 when i n ma friends were chilled under the tree tukila story za hapa na pale diva ilipita gari moja aina ya prado ya ukweli tu ndani kulikuwa na watu wanne yaani mdingi na mkewew na watoto wawili wakike na wakiume mdogo . tukiwa hatuna hili wala lile tukashangaa kuona yule dingi aliyepita na gari akirudi kwa miguu kuelekea mahali tulipokaa sisi alivyofika tukamsalimia akauliza kama kuna mtu yeyote anayeweza kufungua na kufunga tairi maana gari yake ilipata pancha iknew how to repair it n besides alikuwa na ni mgeni wa mzee fulani maarufu tu hapa kota ikanibidi nimsaidie tu si unajua kikota kota tunaushi kama ndugu . basi tukatoka kuelekea gari lilipo .doouuh Diva iwas so suprised to see a beatiful gal in there diva nilifanya kazi na kijimvua flani hi cha kizushi full tope baada ya kumaliza sasa wakati naelekaea kunawa maana nilichafuka na tope kiasi fulani nikashangaa yule msichana anakuja nyuma yangu ni kama hatua kumi na tano hivi mpaka gari lilipo nyuma ya kijikuta hivi ,ikanibidi nijitutumue mtoto wa kiume kwa kuhoji "vipi kuna kitu nimesahau au?" Diva nilisahau kwa yeyote atakayependa story zaidi atembelee tovuti langu www.kim54real.webs.com

Wako Hot Kusema Kweli...

Kimberly Noel "Kim" Kardashian (born October 21, 1980) is an American celebutante, socialite, model, actress, and television personality. She is best known for her social life and her role on the E! reality show Keeping Up with the Kardashians.
Kardashian is of Armenian (father), Scottish and Dutch (mother) descent,[1] the daughter of attorney Robert Kardashian and Kris Jenner (née Houghton). Robert Kardashian, best known for being O. J. Simpson's lawyer during his murder trial, died on September 30, 2003.[2] Her mother, Kris, divorced Robert in 1989, and married former Olympian Bruce Jenner in 1991.[3]
Kardashian has two sisters, Kourtney and Khloé, and one brother, Robert. She also has stepbrothers Burton Jenner, Brandon Jenner, and reality TV star Brody Jenner, stepsister Casey Jenner, and half-sisters Kendall and Kylie Jenner.[4] O. J. Simpson is Kardashian's godfather.[5]
While attending high school, Kardashian worked at her father's music marketing firm, Movie Tunes
Kim&Reggie
Reginald Alfred "Reggie" Bush II (born March 2, 1985) is a professional football player who plays for the New Orleans Saints of the National Football League. He has played running back/tailback, wide receiver, and punt returner. Bush played college football at the University of Southern California from 2003-2005, including one National Championship season. He has won numerous collegiate awards including the 2005 Heisman Trophy.
they are hot..ant they???

Tuesday, January 26, 2010

My New Look...

Macho Bandia LOL
Luv This
Nimekata Nywele upande Mmoja
Zilipokuwa ndefu and black
Enzi za Arafat
Hakijapita kipodozi hapo..its natural
Forever Young
Shingo yangu
need a change..and its how i look now...

Saturday, January 23, 2010

HOW DO I LOOK NEW HOST.

Ni Mwanamke mwenye asili ya china,so she s chinese thats all i got say,alianza kazi yake ya Make up artist kutoka huko kwao San Jose na baadae kufanya kazi na kina Christina Aguilera na Alicia keys baadae akaaza kuwa kama co host wa Frank Munniz pale MTV ambako alipokelewa vzr ...
Hapa akiwa anajiandaa kwa ajili ya shoot yake ya kipindi chake na make up artist wake ......
Jeannie akiwa amepozi hapa hana hata la kuongea zaidi ya kutabasamu tu kwa kazi yake nzuri
How do I Look iko style network na ni show inayombadilisha mwanamke kimavazi na kimuonekano pia..
OMG osh .. she so sexy and Beautiful and kanivutia sana na kazi yake..u cant boooo her coz she s amazing for real
anafanya kazi na E,Mtv and etc......she is so fly Jeannie..
anythin??

Thursday, January 21, 2010

SHERLOCK HOLMES FAST THINKING HAKUNA UCHAWI

jamaa anachekesha sana na kiukweli kusema ya uchekeshaji ni pale alipokuwa ame act kujinyonga .. kumbe alikuwa ana test black wood kwanini hakufa wakati Dr.alik confirm kifop chake..
Niliicheck hii movie week 3 zilizopitz pale Mlimani city cinemas and was like dah!!
the movie is funny ...
ushawahi ona hii movie kweli??try this ..2012 and avatar and u will see how wenzetu wanavyojua wanachokifanya..hapa kwetu Tanzania pia one day tutafika tusikate tamaa jamani ila turudi shule pls....maana waigizaji wengi hawana elimu kwa hapa kwetu Tzee..

But u guys mnajitahidi..hongereni ila punguzeni kuigiza sana unaigeria .. au nakosea lol...

U GUYS MNA VIRUS WA skype AU ???

Neyo amazing...on stage aisee 2009 haki swa hapa bet
A-keys and Queen Latifah!!
Good girl on stage..wawoooo!!
2010 Hii Hapa Jamani kama Mtanzania nafikiri ninatumai kila jambo litaenda kihaki..
nina uhuru pia wakusema nionavyo mimi coz ni haki yangu..
Miaka mingi nimekuwa sio mshabiki wa Tuzo za MTV MUSIC AWARDS coz huwa ni za kupeana ila ni fan wa BET MUSIC AWARDS Coz haki huwa sawa..
Point yangu ni kuwa We need resolutions and sio madudu tena in our music industry na kiukweli pls naomba kuzungumzia mioyo ya Wengi wetu kama wapenda muziki wa kizazi chetu..
Hizi tuzo za Kilimanjaro music awards this year pls jamani...Haki itendeki msije tena mkaweka upcomin wa kina kigwema ambao wengi wetu tuliwajua siku ya Tuzo na kushikwa na mshangao kama yeye ni artist wa hapa pia,tusipeane basi hizo Tuzo jamani..inakuwa haileti maana nafikiri ..
So Mkiaribu hamharibu nyinyi tu bali mnaaribu sifa za Uongozi wenu pia,jaribuni kutoa hao virus wa skype katika ubongo wenu ili wasiendelee kuaribu thamani yenu..
Haya kama mdau wa Muziki nasubiria Madudu mapya maana hamueleweki mpaka na nyinyi mrisho mpoto awatungie tungo tata labda au sio jamani??

MY BESTFRIEND

When i was down huwa ananiambia ama here for u hun...pls be ok!!
we all need friends to cheer us up,luv her a lot tho she is far away but we gon met soon hun..she is melissa and i luv her and she s my best friend!!
another thin jamani...a blog is somethin Personal for yo fans ..
My fans wanataka kujua marafiki zangu na kila nifanyacho and huwa na display hapaa and tweeter and facebook,so go and take a bow if u find it boring...
holla...
2010 resolutions its all about diva Loveness Love...and my fans....

Wednesday, January 20, 2010

I LOST MY LOVELY ENGAGEMENT RING

Huu ni Mfano halisi wa my ring...ilikuwa exactly kama hiyo hapo juu,ilikuwa nzuri na ndogo sana.
I Dont know how and where but jana niliamka and kwa mara ya kwanza nikavua my ring,nikaenda kuoga coz nilikuwa na meeting na Tigo makau makuu kitengo cha masoko kwa ajili ya USIKU WA MELODY AND ROMANCE ambao mimi kama Diva Nimeandaa kupitia Clouds Fm Ala za Roho kwa ajili ya kutoa support ya muziki wa Taratibu wa Kizazi kipya wa Hapa Tanzania.niliamka mapema tu licha ya kuchelewa kulala ili nipate muda wa kujiandaa na kwenda Tigo makao makuu,Tigo watakuwa main sponsor wa Usiku huo na Clouds Tv pia ndo watakamilisha usiku huo amabao utafanya pia Marlaw a Lounge album yake mpya.
Was Not in hurry so.....
Nikaoga pale mwaego then sikumbuki yaani ilikuwaje but what i know is ghafla sikuiona hiyo peter iliokuwa ni ya gold na inawaka sana mbele ya vito vya diamond vidogo sana ila vina ngaa...

was in luv wit tha ring and kila wakati huwa nilikuwa nikiaangalia but ghafla sikuiona,Jamani mwee..tafuta tafuta na wewe,safisha chumba panga nguo upya wapi,nenda chooni fanya hivi na vile wapi,
Mpaka nikaanza ku sweat ,slow nikajisogeza katika kitanda jasho tiririka diva huyu ila wapi sijaiona..basi sikutaka chelewa nikaenda katika hicho kikao,was having a bad day for real coz was always missing tha ring na killa nikiangalia katika kidole holla,haipo....basi nifanyeje,theres a lot to do then nikaenda katika ofisini kuwajibika na kazi zingine za kujenga taifa but was dissapointed sana...
later my baby baba akaja pickin me up after Ala za roho and akanipa another silver round ring but kiukweli the first one was amazing thou this was a real silver and good one too but its really bad kupeteza that ring ambayo till now siioni wala sijui iko wapi ..

Is It A bad sign kweli??Maana sweetheart kasema na hii ukivua ikapotea na ukikaa nisipokuona umeivaa...hatutaelewana!!ila nahisi ni ishara mbaya kupoteza that ring and my friends wameniambia it is a bad sign,wengine wamesema shit happens so wish miracle itokee aisee nione hiyo ring jamani...I swear to God will be happy sana nikiiona...anyway
pls usisahau kuja katika melody and romance night ambayo itakupa nafasi ya kuwaona wale wote wanaoimba slow RnB wa hapa Tanzania....karibu!!

Monday, January 4, 2010

My Nu Year'S Resolutions...

CALA YA 2010...
10.Getting In Shape
9.Paying off My Debts
8.Phone Mum Everynight Before I go to sleep..
7.Drink More Water
6.Not Goin Out Much Tho am not outgoin kiivo
5.Trying Chinesse Food
4.Into Fashion For Real
3.Listerning than Talkin Much
2.Reading Much
1.Listerning to Good Music



Others are so unique...
Whats Yours Babez??!!

HAPPY NU YEAR LOVERS...

Bi Diva Mkubwa Na Bwana Jigga LOL...
Mariah Carey wit Sweet Hubby..
Leona Lewis Wit Sweetheart..
Diddy wit Motha Of Da Kids
Kanye wit His Sex Machine Lady
Alicia Wit His Swagger Lover LOL!!
Its how wapenzi hao wali celebrity 2010 bbz....Tuma Zako na wewe ziwe nzuri lakini..
LOL...

PRETTY YOUNG THING TAKING OVER ....

She is not a bitch pls.. she is only tryna play her part and she is so fly and got her swagger dolls..
Brown Kimya...unalo???
And they are looking good au sio??
Do u Luv Chris Brown??Do U feel what I feel???

RIHANNA WITH HER NEW HAIR DO..ABU DHABI PICS ON 31st DEC 2009

Hapa na hili SWETA NDO KA
NIMALIZA..the Final Gal on Earth-du!!1
She Is The Fashionista People...
The 1st Time kuona hiyo Hair Do..niliiona hapahapa Tanzania Tried By Hajjra Hassan and leo amazed nikiwa twitter replying Fadhila Muhanga tweeter Post nikaona Rihanna Kaijaribu and kusema Ukweli its good and hot and Sexy...

Hajjra Once alikuwa nayo so sikuona Kipya sana but Kisa Rihanna ni lazima tutasema Rihanna Hair Do But Someone tried it Jamani tena M t zee..

U Look Fab Riri...will try it Pale kwa Basilla Mwanukuzi Beauty Parlour ..

Hope will be Good....na wewe jaribu...
Hapo ilikuwa Abu thabi usiku wa Mwaka Mpya 2010 akiwa na Green Lantern..Dj wa Huko..
Watchu think hun??!!!