Wednesday, January 25, 2012

diva huyo anaolewa...............Mahari Ishatolewa !!

Guys Team Makorokocho busy singing Diva Huyo anaolewa
Diva huyo anaolewa Mahari Ishatolewa Mahari Ishatolewaaa
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................funny thou !! RMXXXXXXXXXXXXXXXXXX

17 comments:

lydia said...

jana nimekuona mlimani city diva,nikashindwa kuja kukusalimia,wewe mzuri sana nimekupenda kweli,nani yule handsome ulikuwa nae?

Anonymous said...

wa ukweeee

Anonymous said...

mtoto mzuri wewe

nehemia said...

huo wimbo mzuri sana naupenda sana

Anonymous said...

ntakupenda milele daima,diva yooooooooo

stella said...

no more haters hapa

Anonymous said...

fungua salon nije,maana unaonekana unapenda sana urembo

Anonymous said...

stupid haters wako wapi?

stamina said...

hatutaki haters 2012,this blog is full of love

hassan said...

lydia ,uliogopa nini kushushuliwa maana huyu demu anaringa sana ,mimi nishakutana nae akaniletea pozi,uzuri si deal deal salamu babu

Anonymous said...

umebana umeachia comments,kazi inaanza sasa,maana nilimiss kusoma zile diss.com za mtoto mrembo diva

Anonymous said...

mtoto mzuri atakuwa huyu?acheni kumpa kichwa ila kweli she is cute

mike said...

mtoto mkali wewe ,haters should consider that,i saw you at cloudsfm ,nomaaa

Anonymous said...

naona huyu jamaa anepost hizo comment atakua na upungufu wa akili kama sio wewe mwenyew so cald diva! FROM 9:38pm to 9:47pm thats 9 good minits of ur lyf unatumia kujijibu coments zako mwenyewe!! kweli blog ya mafyatu!

Anonymous said...

unamajina ya kike na kiume uitweje?? jikedume!!

Anonymous said...

huyoo 2mekush2kia umepost post 9:26pm then ukaanza kujijibu mwenyewe, hivi unavuta bange siku hizi? au toka zamani

Ian said...

Ur cute but punguza kidogo mashauzi u'll be much more...yanakufanya uonekane obsessed na fam! i do like u but i only hate dat part of u *#justsayingnothingpersonal**#